KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Mwananyamala

Parokia ya Mt Martin De Porres Mwananyamala ilianzishwa mwaka 1971 ikiwa na idadi ya waamini 300. Parokia ya Hananasifu, Parokia ya Mwenge, Parokia ya Mt. Yakobo Mtume na Kijitonyama ni  zao la Parokia ya mwananyamala,

Parokia ilianza kama  kituo cha sala, (Shule ya Msingi Kinondoni) na baadaye kuwa Kigango cha Mwananyamala..ilipata hadhi ya kuwa  Parokia 1971 na kuwekwa chini ya mwombezi Mt. Martin De Porres. Kabla ya hapo, waumini wa maeneo ya Kinondoni, Kinondoni shamba, Hananasif, Mwananyamala, Kijitonyama na Mwenge, Mwananyamala Kisiwani na Top Life walikuwa wanakwenda kusali kwenye Parokia za Oystarbey, St Joseph, Kawe na Magomeni.Chini ya muongozo wa Kanisa Kuu la St Joseph Carhedral. Baadaye aliteuliwa Padri Denis asimamie kituo cha sala cha Kinodnoni kati ya mwaka 1964. Padri Denis aliyekuwa Paroko wa Oystarbey na Kituo cha sala cha Kinondoni kikawa chini  ya usimamizi wa Parokia ya Oystarbey, kuanzia kituo cha sala kianzishwe hadi kuwa Parokia mwaka 1971.


Uongozi wa Parokia
Pd Eladius Kibangura
PAROKO
Tel : 0625-238311
Short Bio: Padri wa Shirika la Mapadri wa ALCP/OSS
Pd. Julius Elias Mosha
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0753-994410
Short Bio: Padri wa Shirika la ALCP/OSS

JULIUS CAESARY JOHN
MWENYEKITI,KAMATI TENDAJI H/WALEI PAROKIA
Tel : 0787 267026
WITNES G. MGAYA
MAKAMU MWENYEKITI, KAMATI TENDAJI H/WALEI PAROKIA
Tel : 0655 849085
ELIAS RICHARD MPIGA
KATIBU, KAMATI TENDAJI H/WALEI PAROKIA
Tel : 0655 291152
ARTHUR GANAI
KATIBU MSAIDIZI,KAMATI TENDAJI H/WALEI PAROKIA
Tel : 0754 447224
DONATUS A. NSHANGE
MTUNZA FEDHA,KAMATI TENDAJI H/WALEI PAROKIA
Tel : 0714 222158
Pd Eladius Kibangura
PAROKO
Tel : 0625-238311
Pd. Julius Elias Mosha
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0753-994410
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Huduma ya Familia: Inalenga kusaidia familia katika malezi ya watoto na kuimarisha ndoa zao kwa misingi ya Kikristo.
  • Kwaya ya Parokia: Kwaya inaongoza ibada na nyimbo zinazothibitisha imani ya Kikristo.
  • Huduma ya Vijana: Vijana wanahimizwa kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu kupitia ibada na shughuli za kijamii.
  • Huduma ya Jamii: Huduma hii inatoa msaada kwa wahitaji, ikiwa ni pamoja na familia maskini na wadhiki.
Jiunge Nasi
Shiriki katika shughuli za parokia kwa kujitolea muda wako na rasilimali zako. Fursa ya kushiriki inapatikana katika vikundi vya huduma, ibada, na mafunzo ya kiroho. Ushiriki wako utaongeza nguvu na mabadiliko katika parokia na jamii kwa ujumla.
Saidia Parokia
Changia huduma za parokia kupitia michango ya kifedha au kwa kujitolea huduma. Ushirikiano wako utasaidia kuendeleza huduma za kijamii na kiroho kwa waamini na jamii kwa ujumla.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...