Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Tarehe 29 Septemba 1985, Parokia ya Mwenge ilizinduliwa rasmi na Mwadhama Laurean Kardinali Rugambwa aliyekuwa askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam. Misa ya uzinduzi ilihudhuriwa na maelfu ya Wakristu waliokadiriwa kufikia 1,500 wakiwemo viongozi wa serikali.
Wakati Mwenge inazinduliwa kuwa Parokia mwaka 1985, ilikisiwa kuwa na Waamini wapatao 10,000 au zaidi wakiwa wanaishi katika maeneo yafuatayo: Kijitonyama yenye Mwenge Kijijini (Kitalu Na. 43); Vitalu Na. 44, 46 na 47; Mwenge Jeshini, Mlalakuwa na Mikocheni. Maeneo matano ya Sinza (Vitalu A mpaka E) ambayo sasa ni Parokia; na eneo la Makumbusho Kijijini na Makumbusho Flats yaliongezwa baadae
Baada ya uzinduzi iliwekwa chini ya usimamizi wa Mtakatifu Maximilian Maria Kolbe ikiwa kwa wakati huo ni Parokia ya ishirini na moja (21) katika Jimbo Kuu la Dar es Salaam. kwa sasa parokia inapatikan Dekania ya Mt. Petro Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Kwaya ya Parokia: Kwaya ya Mwenge inahusika na uimbaji wa nyimbo za ibada zinazosaidia waamini katika kumtukuza Mungu.
- Huduma ya Familia: Huduma hii inajitahidi kuimarisha ndoa na familia kwa kuzingatia maadili ya Kikristo.
- Kikundi cha Vijana: Vijana katika parokia wanahamasishwa kutumikia jamii na kuwa na uhusiano mzuri na Mungu.
- Huduma ya Jamii: Inahusika na kutoa msaada kwa wahitaji, ikiwa ni pamoja na familia maskini na wadhiki.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...