KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Hananasif

Miaka ya 1978 waamini walikuwa wachache bado, walikutanika shule ya msingi  ya Hananasifu kwaajili ya sala saa 10:00 jioni ijumaa wakiongozwa na Mapadri wa Shirika wa Consolata wa Parokia ya Mwananyamala.

Mwaka 1988 Mapadre wa Shirika wa Consolata waliondoka Mwananyamala na nafasi yao kuchukuliwa na Mapadre wa Shirika la Roho Mtakatifu (Holy Spirit Fadher) Pd. Plato Tarimo na Pd. Thadeus Mshanga

Waamini walihamia jingo la “Hananasifu Community Centre (Jengo la Maendeleo ya Jamii), Jengo hili baadaye lilibadilika kuwa jingo la Kanisa na baadaye Kigango chini ya Parokia ya Mwananyamala.

Tarehe 26 Julai 1993 Kigango kilitangazwa rasmi  kuwa Parokia, Pd. Plato Tarimo akiwa Paroko wa Kwanza akisaidiwa na Pd. Antony Mrina


Uongozi wa Parokia
Pd. Peter Nau
PAROKO
Tel : 0769-011735
Short Bio: Padri wa Shirika la ALCP/OSS
Pd. Thomas Bujiku
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0627-835115
Short Bio: Padri wa Shirika la ALCP/OSS

EMANUEL SILVAN AKYOO
MENYEKITI, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0756 237049
MODESTER MUSHI
MAKAMU MENYEKITI, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0753 339346
FELISTER T. SAMBUA
KATIBU, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0754 927800
JAMES BRUNO LIKOPA
KATIBU MSAIDIZI, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0689 698575
DAMAS S. SHETUI
MTUNZA FEDHA
Tel : 0716 825427
Pd. Peter Nau
PAROKO
Tel : 0769-011735
Pd. Thomas Bujiku
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0627-835115
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Kwaya ya Parokia: Kwaya ya Hananasif hutoa nyimbo za ibada zinazochochea waamini kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu.
  • Huduma ya Familia: Huduma hii inalenga kuimarisha familia na ndoa, ikiwa ni pamoja na malezi bora ya watoto.
  • Kikundi cha Vijana: Vijana wanashirikiana katika huduma na shughuli za kijamii ili kueneza upendo wa Kristo.
  • Huduma ya Jamii: Huduma hii inatoa msaada kwa familia na wahitaji katika jamii.
Jiunge Nasi
Shiriki katika huduma za parokia na uwe sehemu ya mabadiliko ya kiroho na kijamii. Fursa ya kushiriki katika vikundi vya ibada, huduma za kijamii, na mafunzo ya imani inapatikana kwa waamini wote. Ushiriki wako ni muhimu katika kuimarisha na kutimiza malengo ya parokia.
Saidia Parokia
Msaada wako utasaidia kuendeleza huduma za parokia, ikiwa ni pamoja na msaada wa kijamii, huduma za kiroho, na maendeleo ya parokia. Kwa michango yako, tutakuwa na uwezo wa kutoa huduma bora kwa waamini na jamii kwa ujumla.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...