Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi – Sinza, iko katika Kata ya Sinza, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es Salaam
Parokia ya Mwenge iliyokuwa Kigango cha Mwananyamala , baada ya kuwa Parokia, ilionekana kuwa idadi ya waamini wanaosali mwenge kutoka sinza imekuwa kubwa , hivyo ikaonekana haja ya kuanzishwa Kigango cha sinza.
Mwaka 1986, Kigango cha sinza kilianzishwa , waamini walisali chini ya mti uliopo katika viwanja vya shule ya Mashujaa karibu na uwanja wa Kanisa. Mwamini mmoja aliyejulikana kwa jina la Herberhard Seprapasen alitoa sehemu ya karakana ya jengo la Karakana yake waamini watumie kusali mpaka ujenzi wa jengo la kanisa ulipokamilika
1992 Askofu Polycarp Kardinali Pengo akiwa Mwandamizi Jimbo Kuu la Dar es salaam aliweka jiwe la msingi nyumba ya Mapadre. Baadab ya nyumba ya Mapadre kukamilika, tar 21/12/1997 Mwadhama Polycarp Pengo alitangaza kigango cha Sinza kuwa Parokia
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Kwaya ya Parokia: Kwaya ya Sinza hutoa nyimbo za ibada zinazosaidia waamini kuwa na uhusiano wa kiroho na Mungu.
- Huduma ya Familia: Huduma hii inalenga kusaidia familia katika malezi ya watoto na ndoa za Kikristo.
- Kikundi cha Vijana: Vijana wanahimizwa kutoa huduma na kushiriki katika shughuli za parokia.
- Huduma ya Jamii: Huduma hii inatoa msaada kwa wahitaji katika jamii, kama vile chakula na msaada wa kifedha.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...