Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Eneo la Mikocheni lilianza kukaliwa na watu kwa wingi miaka ya 1980s na kufikia miaka ya 1990s, idadi ya wakazi wa Mikocheni iliongezeka sana. Kwa sababu ya kuongezeka kwa watu, haja ya kupata huduma mbalimbali za kijamii ilijitokeza mojawapo ya hizo ikiwa ni huduma za kiroho. Baada ya kubainisha tatizo hili, waamini Wakatoliki waliamua kujitafutia ufumbuzi.
Huduma
za ibada zilipatikana Parokiani Mwenge. Siku za Jumatano jioni kulikuwa na
ibada maalumu kwa ajili ya watoto hasa wale wa mafundisho ya Komunyo ya kwanza
na Kipaimara. Ilikua vigumu kwa watoto wa Mikocheni kuhudhuria ibada hiyo kwa
sababu ya kuogopa kugongwa na magari wakati wakivuka barabara kuu ya Ali Hassan
Mwinyi lakini pia njia walizokuwa wakitumia kwa wakati huo zilikuwa za
vichochoro na za hatari.
Kwa ufahamu zaidi bonyeza kitufe hapo chini kuhusu historia
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Kwaya ya Parokia: Kwaya ya Mikocheni hutoa nyimbo za ibada ambazo zinachochea waamini kuishi maisha ya kiroho.
- Huduma ya Familia: Huduma hii inalenga kuimarisha familia na ndoa kwa kufundisha maadili ya Kikristo.
- Kikundi cha Vijana: Vijana wanahamasika kushiriki katika ibada na huduma za kijamii zinazosaidia jamii.
- Huduma ya Jamii: Huduma hii inatoa msaada kwa wahitaji katika jamii, ikiwa ni pamoja na chakula, mavazi, na msaada wa kifedha.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...