Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Julai 7, 2017 ndio siku ambayo kikundi kidigo cha wanarozari waliokuwa wakikutana mara mbili tu kwa juma, kilikua hadi kufikia kuwa Parokia ya Bikira Maria Mama wa Rozari Takatifu. Tangazo lililotolewa na Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Mwahdama Policarp Kardinali Pengo, pamoja na kutangaza Parokia, pia lilimteua Padre Mkazi wa Makongo Juu Mheshimiwa Martin Dominic kuwa Parokia wa Parokia ya Mlandizi na Padre Maximilian Wambura aliyekuwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Familia Takatifu Mburahati kuwa Paroko wa kwanza wa Makongo Juu.
Wachungaji waliochunga kundi Makongo Juu kama Maparoko kartka kipindi hicho ni; Maximillian Wambura (2007 – 2012), Gallen Mvungi (2012 – 2014, Joseph Massenge (2014 –
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Kwaya ya Parokia: Kwaya ya Makongo Juu inajulikana kwa nyimbo zake za ibada ambazo zinahamasisha waamini kuwa na uhusiano wa kiroho na Mungu.
- Huduma ya Familia: Huduma hii inalenga kuimarisha ndoa na familia kwa maadili ya Kikristo.
- Kikundi cha Vijana: Vijana wanahamasika kushiriki katika shughuli za parokia na kueneza upendo wa Kristo katika jamii.
- Huduma ya Jamii: Huduma hii inajikita katika kutoa msaada wa kiuchumi na kijamii kwa wahitaji.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...