KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Upanga

Parokia ya Upanga ilizinduliwa rasmi na Muadhama Kadinali Laurean Rugambwa, mwaka 1971. Kabla ya hapo, ilikuwa Kanisa dogo (Chaplaincy), la Jumuiya ya Waitaliano waliyokuwa wakiishi Jijini Dar es Salaam. Baadaye, Kanisa hili lilijumlisha Wakristu wengine wa eneo la Upanga, hasa wenye asili ya Kigoa, Wazungu na Waafrika wachache waliyoishi katika maeneo hayo wakati huo.

 Umuhimu wa kuanzishwa kwa Parokia ya Upanga ulitokana na kuongezeka kwa Waumini Wakatoliki katika maeneo ya Upanga, na kutokana na kutokuwepo Kanisa la karibu maeneo hayo. Muadhama Laurean Kadinali Rugambwa, aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, alizungumza na Uongozi wa Jimbo, pamoja na Shirika la Makapuchini, na kukubaliana kulipa Kanisa la Upanga hadhi ya Kiparokia, mwaka 1971, wakati huo kukiwa na Waumini zaidi ya 2,000. Kwa sasa, Parokia ya Upanga ina Waumini zaidi ya 4,500.

 Kabla ya kujengwa Kanisa la Upanga, Wakristu waishiyo eneo hili walikuwa wakisali katika Kanisa Kuu la Mt. Yosefu.

 

Uongozi wa Parokia
FR . ADELWALD ITATIRO
PAROKO
Tel : 0754 503556

AUGUSTA K. FERNANDES
MWENYEKITI,KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0767 786707
EDWIN KASANGA
MAKAMU MWENYEKITI,KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0783 783166
IPILINGA P. E. PANYA
KATIBU, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
TEGEMEA G. NDEMO
KATIBU MSAIDIZI, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0763 484828
CHANJA MWOMBELA
MTUNZA FEDHA, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0713 277575
FR . ADELWALD ITATIRO
PAROKO
Tel : 0754 503556
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Huduma za Kichungaji: Misa za kila siku, mafundisho ya imani, sala za pamoja, na semina za kifamilia.
  • Vikundi vya Utume: Kikundi cha Wanafunzi Wakatoliki (CYC), WAWATA, Jumuiya ya Familia Takatifu, na Kwaya ya Parokia.
  • Huduma za Kijamii: Huduma za kijamii na misaada kwa maskini, familia zenye shida, na watoto yatima.
Jiunge Nasi
Waamini wa Parokia ya Upanga wanahimizwa kujitolea katika huduma za kijamii, kushiriki katika misa za kila siku, na kujiunga na vikundi vya kijamii na kiroho. Kuna nafasi nyingi za kushiriki, kama vile kutoa michango ya kifedha kwa huduma za kijamii, kushiriki katika makundi ya sala, na kujitolea katika huduma ya watoto na familia.
Saidia Parokia
Parokia inahitaji msaada kutoka kwa waamini wake ili kufanikisha shughuli zake za kiroho na kijamii. Waamini wanaweza kutoa michango ya kifedha, misaada ya vifaa, au kujitolea katika miradi ya huduma kwa jamii. Msaada huu unasaidia parokia kutoa huduma bora na kuendelea kutekeleza shughuli zake za kijamii na kiroho.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...