KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Kurasini

Kanisa la Kurasini lilianza kujengwa mwaka 1894 na Padre Maurus Hartmann aliyekuwa Vikariatus Apostolic Properfect wa Jimbo la Dar es salaam. Kanisa hilo liliwekwa wakfu tarehe 20/1/1898 na kuwekwa chini ya usimamizi wa Mt. Maurus na lilihesabika kama makao makuu ya Vicariatus. Kanisa hili lilikuwa karibu na ufukwe wa bahari ya Hindi kilipo kituo cha zimamoto cha bandari kwa sasa.

Mwaka 1965 Kurasini ilifanywa Sub-Parish chini ya uongozi wa Padre Bruno Haistetter. Katika upanuzi wa bandari ya Dar es salaam mwaka 1968, Serikali iliomba kanisa hilo kuhamishwa  na kuwa lilipo sasa . Awali palijengwa kanisa dogo la muda, na baadae likajengwa kanisa kubwa na kuanza kutumika Dominika ya kwanza ya majilio mwaka 1970.Wakati huohuo Kurasini ikafanywa kuwa Parokia. Na Paroko wa kwanza alikua anaitwa Padre Bruno Hoalffstetter.

Katika vipindi tofauti Parokia ya Mt. Maurus ilikabidhiwa kwa wamisionari wakapuchini na Padre Leonus alikuwa ndiye Paroko wa kwanza Mkapuchini. Mwaka 1988 ilikabidhiwa wamisionari Wasalvatoriani ambao wapo mpaka leo.                  


Uongozi wa Parokia
PD. VALENTINO B. TARIMO
PAROKO
Tel : 0782720105
Short Bio: Padre Shirika la Wasalvatorian anayefanya Utume Jimbo Kuu la Dar es Salaam

NOVART L. GWOMA
MWENYEKITI
Tel : 0713 781543
GODFREY B. VALENCE
MAKAMAU MWENYEKITI
Tel : 0714 409531
NAOMY BEATUS LINDA
KATIBU
Tel : 0677 235485
BONIFACE G. KASIMBA 0624 354724
KATIBU MSAIDIZI
ROGERCE T. BONIPHACE
MTUNZA FEDHA
Tel : 0757 187068
PD. VALENTINO B. TARIMO
PAROKO
Tel : 0782720105
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Huduma za Kichungaji: Misa za kila siku, sala za pamoja, semina za kifamilia, na mafundisho ya kiroho.
  • Vikundi vya Utume: Wanafunzi Wakatoliki, WAWATA, na Jumuiya ya Familia Takatifu.
  • Huduma za Kijamii: Huduma kwa maskini, watoto yatima, na familia maskini
Jiunge Nasi
Waamini wa parokia wanahimizwa kushiriki katika huduma za kijamii na kiroho. Kuna nafasi ya kujitolea katika shughuli za utume wa vijana, wahudumu wa misa, na huduma kwa familia maskini. Waamini pia wanahimizwa kujitolea kutoa michango ya kifedha kwa ajili ya shughuli za kijamii.
Saidia Parokia
Waamini wanahimizwa kutoa michango ya kifedha, misaada ya vifaa, au kujitolea katika miradi ya kijamii. Msaada huu utasaidia parokia kutoa huduma bora kwa jamii na kupanua shughuli zake za kiroho.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...