KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Ukonga

Parokia ya Mt. Augustino- Ukonga Kijiografia ipo Kusini Magharibi mwa Jiji la Dar es Salaam katika eneo maarufu la Ukonga. Umaarufu wake unakuja kutokana na kuwepo kwa Gereza la Ukonga.

Parokia ya Mt. Augustino -Ukonga iilianzishwa 01.01 .1972 ikiwa chini ya Shirika la Wafransiskani Wakapuchini, nia ya kuanzishwa kwa Parokia hii ilikuwa ni kutoa huduma za Kiroho kwa wafungwa na Wafanyakazi katika Gereza la Ukonga.

Parokia iliendelea kuwa chini ya Shirika la Wafransiskani Wakapuchini tangu Mwaka 1972 hadi 2002 na Baadaye iliwekwa chini ya Jimbo. Kwa kipindi chote hicho kulikuwa na Mapadre wengine ambao walibadilishana kutoa huduma za Kiroho. Mapadre hao ni Fr. Robert, Fr. Zakeo na Fr. Lucus Kidegu. Mwaka 2002 ndipo makabidhiano yalifanyika kati ya Shirika la Wakapuchini na Jimbo na Pd. Steven Oswald Nyilawila kuteuliwa na Mwadhama Polycarp Pengo Kuwa Paroko wa Kwaza wa Jimbo

Uongozi wa Parokia
Pd. Dominiki Mweyunge
PAROKO
Tel : 0787-777029
Short Bio: Padre wa Jimbo la Dar es Salaam
Pd Martin Dominic Rutayabesibwa
CHAPLAIN
Tel : 0753-312324
Short Bio: Padri wa Jimbo la Dar es salaam
Pd. Alphonce Ntakwizile
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0655-129442
Short Bio: Padri wa Jimbo la Dar es salaam

DENIS MAHENDEKA
MWENYEKITI, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0754 816808
GASPAR NGIDO
MAKAMU MWENYEKITI, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0754 496421
WILFRED KIPONDYA
KATIBU, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0683 926990
DEUSY D. MASSATO
KATIBU MSAIDIZI, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0755 918128
LULU M MUTAYOBA
MTUNZA FEDHA, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0758 210996
Pd. Dominiki Mweyunge
PAROKO
Tel : 0787-777029
Pd Martin Dominic Rutayabesibwa
CHAPLAIN
Tel : 0753-312324
Pd. Alphonce Ntakwizile
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0655-129442
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Kwaya ya Parokia: Kwaya inahakikisha ibada zinafanyika kwa shangwe na nyimbo zinazogusa mioyo ya waamini.
  • Huduma ya Familia: Huduma hii inalenga kuimarisha familia kwa kutoa ushauri wa ndoa na misaada kwa familia zenye changamoto.
  • Kikundi cha Vijana: Kikundi hiki kinahamasisha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiroho na kijamii.
  • Huduma ya Upendo: Kikundi kinatoa misaada kwa jamii, hasa kwa maskini, wazee, na wale walioko katika mazingira magumu.
Jiunge Nasi
Parokia ya Ukonga inakaribisha waamini na watu wa jamii kushiriki katika shughuli za kiroho na kijamii. Ushiriki wako utasaidia kuimarisha mshikamano na kuleta mabadiliko chanya. Jiunge na huduma mbalimbali za parokia, kama vile kwaya, vikundi vya vijana, na huduma za kijamii ili kuimarisha maisha yako ya kiroho na kijamii.
Saidia Parokia
Mchango wako ni muhimu kwa kuimarisha huduma za parokia, ikiwa ni pamoja na misaada kwa maskini na miradi ya maendeleo. Changia fedha, muda, na maarifa yako ili kusaidia parokia kufanikisha malengo yake ya kiroho na kijamii. Kwa msaada wako, tunaweza kuendelea kujenga jumuiya ya Kikristo yenye nguvu na upendo kwa wote.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...