KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Vituka

Parokia ipo maeneo ya Yombo Vituka, Wilaya ya Temeke. Umbali wa kilomita kumi na mbili hivi kutoka katikati ya mji; kusini mwa jiji la Dar es Salaam na kilomita mbili kutoka makutano ya barabara ya Mwalimu Nyerere na Jet-Lumo. Aidha imepakana na Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere - JNIA, upande wa Magharibi, Mashariki imepakana na Parokia ya Mt. Karoli Lwanga Dovya, Kusini imepakana na Parokia ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu, Buza na kaskazini imepakana na Parokia ya Mt. Kamili-Yombo

Parokia ilizinduliwa rasmi na Mwadhama Kadinali Policarp Pengo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, katika adhimisho la Misa Takatifu ya siku kuu ya Pasaka, tarehe 31 Machi, 2013. Baada ya uzinduzi, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo alimtangaza rasmi Paroko wa Kwanza, Padre Hubert Constantine Mroso, kutoka Shirika la Wakamiliani, kuwa Paroko.

Uongozi wa Parokia
Pd. Patric Bwakila
PAROKO
Tel : 0783-177852
Short Bio: Padri wa Shirika la Wakamiliani
Pd. Ephraim Mpaji Ogha
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0712-455982
Short Bio: Padri wa Shirika la Wakamiliani

BURCHARD RWAMTOGA
MWENYEKITI,KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
AMANDUS CHINGWILE
MAKAMAU MWENYEKITI,KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
BOSCO HAULE
KATIBU, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
JOSEPH B. MTINIA
KATIBU MSAIDIZI,KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
WINFRIDA KIHEGA
MTUNZA FEDHA, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Pd. Patric Bwakila
PAROKO
Tel : 0783-177852
Pd. Ephraim Mpaji Ogha
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0712-455982
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Huduma ya Afya ya Kikristo: Kikundi kinachotoa msaada wa matibabu na maombi kwa wagonjwa na wahitaji.
  • Kwaya ya Mt. Yohane wa Mungu: Inatoa nyimbo zenye kuimarisha ibada na kuleta mshikamano wa waamini.
  • Huduma ya Vijana: Vijana wanahamasishwa kushiriki katika shughuli za parokia ili kukuza imani yao.
  • Huduma ya Wazazi: Kikundi kinachotoa mwongozo wa kifamilia kwa wazazi ili kukuza maadili ya Kikristo.
Jiunge Nasi
Kushiriki katika huduma za parokia ni fursa ya kipekee kwa waamini kujenga imani na mshikamano wa kijamii. Jiunge na vikundi vya huduma au JNNK ili kushiriki kikamilifu katika maisha ya parokia. Ushiriki wako unaimarisha jumuiya ya waamini na kukuza utimilifu wa maisha ya Kikristo.
Saidia Parokia
Parokia ya Vituka inakaribisha msaada wako ili kuendelea kutoa huduma bora za kiroho na kijamii. Unaweza kutoa michango ya fedha, muda, au vipawa vyako kwa miradi ya parokia. Kwa msaada wako, tunaweza kuendeleza huduma zinazogusa maisha ya watu wengi zaidi.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...