Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Parokia ya Mtakatifu Teresa wa Calcutta-Kivule ilitangazwa rasmi kuwa Parokia tarehe 07/07/2016 katika misa ya Upadrisho iliyofanyika Parokia ya ST Peter-Osterbay na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo,Askofu Mkuu wa JimboKuu la Dar es Salaam
Parokia ilizaliwa toka Parokia ya Roho Mtakatifu-Kitunda. ilikuwa siku muhimu sana kwa wana Kivule.
Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo alimteua Padre Deogratias A.Chale kuwa Paroko na Padre Meinrad Bigirwamungu Kalikawe aliteuliwa kuwa Paroko Msaidizi.
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Huduma ya Wagonjwa: Kikundi kinachowaleta pamoja waamini kwa ajili ya kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa.
- Huduma ya Familia: Kikundi kinachosaidia familia kujifunza na kuimarisha maadili ya Kikristo.
- Vijana Wakatoliki: Vijana wanahamasishwa kujiunga katika shughuli za huduma na maendeleo ya kijamii.
- Kwaya ya Mt. Theresia: Inasimamia nyimbo za ibada, kuimarisha uimbaji wa kiroho katika jumuiya.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...