Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Maandalizi ya ufunguzi wa parokia mpya yalinza na ujenzi wa nyumba ya mapadre. Shughuli hii ilifanikishwa kwa michango ya waamini wa segerea pamoja na misaada ya wafadhili iliyochangishwa chini ya padre Peter Bijnowski huko Poland.
Ujenzi wa nyumba ya mapadre ulikamilika 1999. Papadre wa kwanza ambao walikuwa ni Padre Dominik Wasileski na Padre George waliweza kunza kuishi katika nyumba mpya ya mapadre tarehe 01/05/1999. Kigango cha kinyerezi kilichokuwa chini ya Parokia ya Ukonga kilifanywa kuwa sehemu ya Parokia hii ya segerea tarehe 04/07/1999.
Kigango cha segerea kilipewa rasmi hadhi ya Parokia 22/05/1999, kuwa parokia mpya ya Roho mtakatifu Segerea. Mh Kardinali Polycarp Pengo alimteuwa rasmi Padri Dominik Wasileski kuwa Paroko wa Parokia ya Roho Mtakatifu Segerea. Parokia iliendelea kupata huduma chini ya ungozi wa Padre Dominiki na usaidizi wa Padre Peter na Padre George.
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Huduma ya Maombezi: Inatoa nafasi kwa waamini kuombea mahitaji yao binafsi na ya jumuiya kwa imani thabiti.
- Kikundi cha Uinjilishaji: Huhamasisha waamini kushiriki neno la Mungu katika jamii kwa ushuhuda wa maisha.
- Huduma ya Watoto: Inahakikisha watoto wanapewa msingi wa kiroho kwa mafundisho na nyimbo za ibada.
- Huduma ya Wanandoa: Huwasaidia wanandoa katika safari yao ya kiimani, wakihimiza upendo na mshikamano wa familia.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...