KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Toangoma

Parokia ya Mtakatifu Pio wa Pietrelcina Toangoma ilitangazwa kuwa parokia Teule mnamo tarehe 6 Januari,2017. Kabla ya hapo ilikuwa ni mojawapo ya vigango vya Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Malaika, Kongowe.

Mnamo tarehe 6 Julai,2017, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo alitangaza kuwa Parokia kamili na kuzinduliwa rasmi na Mhashamu Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa mnamo tarehe 10 Septemba, 2017

Baada ya kuwa Parokia kamili , Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo alimteua Padre Carilus Onyango Kowanga (OFM) kuwa Paroko wa kwanza na Padre Festus Kitogo Mghanga (OFM) kuwa Paroko Msaidizi. Kamati Tendaji ya Parokia walichaguliwa Bw. Richard Sabastiani -Mwenyekiti, Audax Kamugisha Msaidizi, Athanas Shija -Katibu, Esther Mapunda K/Msaidizi na Mhazini Margaret Peter

Uongozi wa Parokia
RAPHAEL H. MUHUGA
MWENYEKITI, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI YA WALEI PAROKIA
Tel : 0754 284974
STANLEY M. NZONU
MAKAMU MWENYEKITI, KAMATI TENDAJI HALMASHURI WALEI PAROKIA
Tel : 0754 770595
SALOME M. LYIMU
KATIBU, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI YA WALEI PAROKIA
Tel : 0784 753151
EDWIN P. FASTON
KATIBU MSAIDIZI, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI YA WALEI PAROKIA
Tel : 0752767321
FREDERICA J. TESHA
MTUNZA FEDHA, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0782 270256
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Huduma ya Vijana: Huduma hii inalenga kuhamasisha vijana kushiriki katika ibada na shughuli za kijamii kwa kuonyesha upendo wa Kristo kwa wengine.
  • Kwaya ya Parokia: Kwaya hii inajivunia kutoa nyimbo za ibada za kumtukuza Mungu na kusaidia waamini kushiriki katika ibada za kila Jumapili.
  • Huduma ya Familia: Huduma hii inasaidia familia zinazohitaji msaada wa kifedha na kiroho, ikiwa ni pamoja na msaada kwa watoto yatima na familia maskini.
  • Huduma ya Maombezi: Maombi na maombezi hufanywa kwa ajili ya waamini na familia zao, ikiwa ni pamoja na maombi ya shukrani na ombi la msaada wa kiroho.
Jiunge Nasi
Parokia ya Toangoma inakualika kujitolea katika shughuli za kiroho na kijamii. Kama unataka kujenga imani yako na kuchangia katika maendeleo ya parokia, unaweza kujiunga na makundi ya vijana, kwaya, na huduma ya familia. Shiriki katika shughuli hizi ili uweze kusaidia kueneza upendo na mshikamano katika jamii yako na kuishi kulingana na mafundisho ya Kristo.
Saidia Parokia
Sadaka na michango yako kwa parokia ya Toangoma ni muhimu katika kuendeleza huduma za kiroho na kijamii. Msaada wako utasaidia kufanikisha huduma ya ibada na kusaidia familia maskini na walio katika hali ya dhiki. Parokia inategemea michango yako ili iweze kutoa huduma bora na kusaidia kueneza neno la Mungu kwa jamii.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...