Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Umuhimu wa Hija
Mnara wa Eiffer
Safari hii ni fursa ya kipekee ya kiroho kwa waumini.
Mahitaji ya Waombaji
- Validi Passport
- Traveling fees
- Vasination Card
HISTORY & SIGNIFICANCE
Mnara huo wa chuma unawavutia mamilioni ya ya wageni kutoka sehemu mbalimbali duniani uliobuniwa kwa taa na mwangaza wa kuvutia unao badilika badilika na kuvutia wakati wa usiku
Eneo hili limekuwa ni eneo la utalii kwa wageni kutoka mataifa mbalimbali duniani. kuna maeneo ya hoteli za kifahari, maeneo ya chakula na maduka ya kwaajili ya watu wanaoenda kufanya shopping katika maeneo hayo.
Eneo la mnara wa Eiffer limekuwa ni kichocheo cha kuingizia kipato nchi ya ufaransa kutokana na idadi kubwa ya watu wanao kwenda kutembelea eneo hilo.