Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Umuhimu wa Hija
Holy Family Church - Cairo
Safari hii ni fursa ya kipekee ya kiroho kwa waumini.
Mahitaji ya Waombaji
- Fomu ya Usajili
- Chanjo zinazohitajika
- Malipo ya gharama za safari
INTRODUCTION
Kwetu Wakristu, Misri ina umuhimu mkubwa ki imani. Kubwa zaidi ni kumhifadhi Yesu na wazazi wake wakati walipokimbilia Misri kutoka Israel kutokana na maelekezo ya Malaika ili kumwepuka mtawala katili aliyetaka kuondoa uhai wake aitwaye Herode. (Mathayo 2:13 -15)
HISTORY & SIGNIFICANCE
Historia inaonyesha , baada ya miaka mitatu kukamilika, Malaika wa Bwana alimtokea tena Yusufu na kumjulisha ya kuwa Herode Mkuu amefariki dunia na hivyo tishio lililokuwepo kwa sasa limeisha na kwamba wanaweza kurejea tena nchini kwao.
Eneo hilo licha ya kuwa ni eneo la utalii, lakini limekuw likitumika kama Kanisa la kila jumapili kwaajili ya shughuli za kiibada.
Ndani ya pango kuna kisima cha maji waliyokuwa wakitumia