KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Eneo la Hija
Eneo la Synagogue la Kiyahudi (Misri)
ENEO: SYNAGOGUE - LA KIYAHUDI
No more photos
Miezi ya Hija
Wasiliana nasi
Gharama
Wasiliana nasi
Washiriki
40
Mawasiliano
Wasiliana nasi
Eneo
Africa
Lugha
Kiingereza Kiebrania Arabic

Umuhimu wa Hija

Synagogue la Kiyahudi

Safari hii ni fursa ya kipekee ya kiroho kwa waumini.

Mahitaji ya Waombaji

  • Fomu ya Usajili
  • Chanjo zinazohitajika
  • Malipo ya gharama za safari

INTRODUCTION

Sinagogi la Kiyahudi linalozungumziwa ni kumbukumbu ya mahali ambapo mtoto Musa aliokotwa na Binti Farao alipokwenda kuoga kando ya mto akiwa amehifadhiwa kando ya Delta ya mto Nile nchini Misri kipindi watoto wa kiume wa Wayahudi walipokuwa wanauwawa kwa kuhofiwa wangekuwa wengi na kupindua utawala. Hii inathibitishwa katika kitabu cha (Kutoka 2:2-3).

Region: Synagogue - la Kiyahudi

HISTORY & SIGNIFICANCE

Timeline: Kutoka2:2-14

2300 BC
Bibllia ainaweka uwiano wa kiteolojia baina ya kile tunachoshuhudia kule Misri na kilichotokea zaidi ya miaka 3500 iliyopita ambacho kinaelewa wazi na wenyeji wa Misri katika maeneo ya kumbukumbu za kihistoria.

Katika eneo hili kuna Synagogy la Kiyahudi walilokuwa wakitumia kuabudia, ambapo kwa sasa inasemekana kuna wayahudi 10 tu wanaoishi Misri na wengine wakiwa wamerejea kwao nchini Misri.

Maandiko katika kitabu cha Kutoka yanaeleza wazi nini kilijiri baada ya binti Farao kumwokoto mtoto Musa alipokwenda kuoga kwenye mkondo wa mto Nile ambapo kwa sasa mto huo umetoweka. Historia inasema binti Farao alimpenda mtoto Musa na kumuasili (adoption) kuwa mwanawe. Fuatilia maandiko upate kujua safari ya maisha aliyopitia Musa mpaka kufikia kuwakomboa wana wa Israel utumwani Misri