KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Eneo la Hija
Eneo la Pyramids of Giza (Misri)
ENEO: PYRAMIDS OF GIZA
Miezi ya Hija
Wasiliana nasi
Gharama
Wasiliana nasi
Washiriki
30
Mawasiliano
Wasiliana nasi
Eneo
Africa
Lugha
Arabic English French

Umuhimu wa Hija

Pyramids of Giza

Safari hii ni fursa ya kipekee ya kiroho kwa waumini.

Mahitaji ya Waombaji

  • Fomu ya Usajili
  • Chanjo zinazohitajika
  • Malipo ya gharama za safari

INTRODUCTION

Upande wa magharigi mwa mji wa Cairo- Misri kuna mji au eneo linalojulikana kama Giza, ndini ya eneo hili kuna moja ya maajabu Nane ya dunia ambayo ni Piramidi (Pyramids) watu mbalimbali huka na kwenda kutembelea eneo hilo kwaajili ya kujionea maajabu hayo.

Region: Pyramids of Giza
Access: 15 Km froma Cairo

HISTORY & SIGNIFICANCE

Piramidi ni maeneo ya makaburi ya Wafalme na wake zao, yaani (Kings and Queens) ambapo makaburi ya Wafalme ni makubwa mara mbli ya yale yaw wake zao, lakini kimuuundo yote yanafanana. Pyramids hizi zimejengwa katika umbo la pembe tatu. Inaaminika Mapiramidi ya kale zaidi yana umri wa miaka 4,000 yaani miaka 2,000 zaidi kabla ya Kristu . yanapatikana huko Misri
Mapiramidi haya hujulikana kama Pyiramids of Giza, inaelezwa mji huu ulijulikana pia kiarabu kama mji wa giza. Mapiramidi hayo yako umbali wa takribani kilomita 15 hivi Kotoka mji mkuu wa Misri Cairo, na kuna makaburi matatu makubwa kuliko mengine. Mpaka sasa kuna sintofahamu ya namna mapiramidi hayo yalivyojengwa na haswa ukizingatia umri wake na teknolojia iliyokuwepo wakati huo.
Makaburi hayo inaelezwa yalikuwa ni ya Mafarao walio waliotawala kwa nyakati tofauti tofauti. Inasemekana wakati wa ujenzi wa makaburi hayo zaidi ya watu elfu kumi na tano walikufa waliokuwa utumwani.
Unakaribishwa kufuatilia hija zinazoandaliwa ili uweze kushuhudia maajabu hayo.