KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Eneo la Hija
Eneo la Venice (Italy)
ENEO: VENICE
No more photos
Miezi ya Hija
Wasiliana nasi
Gharama
Wasiliana nasi
Washiriki
40
Mawasiliano
hijaroma@darwalei.or.tz
+255 787 188 503
Eneo
Europe
Lugha
Englis Franch Italiano

Umuhimu wa Hija

Venice

Safari hii ni fursa ya kipekee ya kiroho kwa waumini.

Mahitaji ya Waombaji

  • Fomu ya Usajili
  • Chanjo zinazohitajika
  • Malipo ya gharama za safari

INTRODUCTION

Venice ni mji mashuhuri sana duniani unaoelea juu ya maji.” Una mchanganyiko wa historia, majengo ya kale, sanaa, mifereji, madaraja na mandhari ya lagoon ambayo ni vigumu kuipata sehemu nyingine duniani. Mji wa Venice una mitaa kama miji mingine, tofauti tu ni kwamba, mitaa imezungukwa na maji. hivyo usafiri ni sea tax au boti.

Region: Venice

HISTORY & SIGNIFICANCE

Venice ilianza kuendelezwa katika karne ya 5 BK, wakati watu walipokimbilia visiwa vya lagoon ili kujilinda dhidi ya uvamizi. Baadaye, kutokana na biashara ya baharini, Venice ilikua na kuwa moja ya mamlaka kubwa za kibiashara na kijeshi za Mediterranean,
kwa karne nyingi ilitawaliwa kama Republic of Venice, maarufu kama La Serenissima. Ilikuwa na ushawishi mkubwa katika biashara kati ya Ulaya na Mashariki ya Mediterranean. Jamhuri hiyo ilianguka mwaka 1797 baada ya vita vya Napoleon

SEHEMU MAARUFU ZA KUTEMBELEA UWAPO VENICE;
Piazza San Marco – huu ni uwanja maarufu sana na moyo wa Venice.
Basilica di San Marco – Ni Kanisa lenye historia na usanifu wa kuvutia.
Palazzo Ducale (Doges Palace) – ikulu ya watawala wa zamani wa Venice.
Rialto Bridge – moja ya madaraja maarufu zaidi juu ya Grand Canal.
Grand Canal – njia kubwa ya maji inayopita katikati ya Venice.
Bridge of Sighs – daraja maarufu linalounganisha Doges Palace na magereza ya zamani.