Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Mji wa Rome (Italy) ni sehemu yenye historia ndefu ya Kanisa la kwanza la mitume na watakatifu. kinachofanya nchi hiyo kuwa ya kipekee ni ;
1. Uwepo wa Vatican na Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter’s Basilica)
Hapa ndipo
kaburi la Mtakatifu Petro linaaminika kuwepo.
2.Basilika Kuu nne za Roma; St. Peter’s Basilica – Vatican, - St. John Lateran – Kanisa Kuu la Roma, - (St Maria Maggiore)- St. Paul Outside the Walls (St Paolo fuori le Mura).
Catacombs; (makaburi) ambako Wakristo wa mwanzo waliuwawa na kuzikwa.
3.Kusali na Papa- Ibada au tukio la hadhara linaloongozwa
na Papa. huwa ni siku pekee sana
4.Maeneo ya Watakatifu; Mt. Fransisko wa Asisi, Mt. Ritha wa
Cascia, Mt. Padre Pio, Mt. Clara, Mt. Carlos Acutis. Eneo ambako muujiza wa
Ekaristi ulitokea (Lunciano) na maeneo mengine.