Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Ufaransa ni moja kati ya miji mikubwa dunia na ya zamani. Mji Mkuu ni Paris, Lugha inayotumika ni French na Kiingereza kwa kiasi kidogo,
Uwapo Paris, maeneo unaweza kutembelea ni kama;
Notre -Dame de Paris - Paris ilikua kwa kasi karne ya 12, na ikawa kituo cha elimu, teolojia na maisha ya Kanisa. Hapo ndipo ujenzi wa Notre-Dame de Paris Cathedral ulipoanza chini ya Askofu Maurice de Sully na kuwekwa wakfu mwaka 1163.Notre-Dame ilikuwa kituo cha Wakristo eneo la Paris kwa zaidi ya miaka 850. Eneo hilo liliungua moto tarehe 15 Aprili 2019, Cathedrali ilirejeshwa na kufunguliwa tena tarehe 8 Desemba 2024.
Eneo linguine linalotembelewa ni Sainte-Chapelle- liko karibu sana na Notre-Dame. Ilijengwa na Saint Louis (Louis IX) karne ya 13 ili kuhifadhi masalia ya Mateso ya Kristo, hasa Taji ya Miiba na kipande cha Msalaba wa Kweli.
Maeneo mengine ni Mnara wa Eiffel, Arch de Triomphe na Lourdes