Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
1. Kuweka Umoja wa Kikanisa
2. Kushirikiana katik sala za pamoja
3. Kufahamiana
Kufanya maendeleo ya pamoja
- Email : gasparparish@yahoo.com
- Phone : 0754518548
- Address : 167 Dar es Salaaam
1. Kutembelea wasio jiweza
2. kusimamia miundombinu ya kanisa
3. kufanya hija na mafungo
mara moja kwa mwezi
Kuwa mshirika wa Shirika la Kimisionari ni njia ya kuridhisha ya kutumikia Kanisa na jamii yako. Iwe unahisi wito wa kuongoza, kutumikia, au kuimarisha safari yako ya kiroho, kuna nafasi kwa ajili yako katika mojawapo ya mashirika yetu. Wasiliana nasi leo ili kujua zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kujiunga.
- Jinsi ya Kujiunga:
Kwa maswali kuhusu uanachama, tafadhali wasiliana na vyama@darwalei.or.tz