KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Vyama Vya Kitume
WAWATA
Muhtasari wa Chama:
Hiki ni chama kinacho waunganisha wakinamama wote waliopo parokia ya Mji mwema kwaajili ya kujadi masuaoa yanayowahusu waakina mama ndani ya parokia, Jimbo na hata taifa
Malengo:

kuwaweka wakina mama wote pamoja ndani ya kanisa

kusali pamoja 

kushiriki shughuli za kimaendeleo ya kanisa

Kuwa Mwanachama
Kuwa Mwanachama

Kuwa mshirika wa Shirika la Kimisionari ni njia ya kuridhisha ya kutumikia Kanisa na jamii yako. Iwe unahisi wito wa kuongoza, kutumikia, au kuimarisha safari yako ya kiroho, kuna nafasi kwa ajili yako katika mojawapo ya mashirika yetu. Wasiliana nasi leo ili kujua zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kujiunga.

Uanachama:
  • Jinsi ya Kujiunga:

    Kwa maswali kuhusu uanachama, tafadhali wasiliana na vyama@darwalei.or.tz

Tafadhali andika jina la taasisi yako.
Tafadhali andika jina lako la kwanza.
Tafadhali andika jina lako la mwisho.
Tafadhali andika namba yako ya simu.
Tafadhali andika barua pepe sahihi.
Tafadhali andika ujumbe wako / Maoni (ikiwa yapo).