Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
- UTUME WA WANAUME KATOLIKI NI NINI?
1.Kuwaunganisha wanaume Katoliki wote ambao wana nia, moyo na ari ya kulitumikia Kanisa ili waweze kufanya kazi katika shughuli mbalimbali za
Kuhifadhi, kuimarisha na kulinda imani ya Kikatoliki na pia kuendeleza elimu na mafunzo ya dini kwa watoto wakatoliki na wale wanaohitaji
Kutegemeza Parokia zao kwa hali na
1. Kutegemeza Parokia
2.Kutembelea Wagonjwa
3. Kushiriki Mikutano na Matukio mbalimbali
4.kushirikia majukumu ya maendeleo ya Parokia mfano;ujenzi
ipo mikutano mikuu na mikutano ya kawaida.
1. Mikutano mikuu: hufanyika mara moja kwa mwaka. (Bajeti, na Matumizi)
2. Mikutano ya kawaida : Hufanyika mara mbili kwa mwaka
3. Mikutano ya Dharura; Hufanyika pale inapotokea dharura
Kuwa mshirika wa Shirika la Kimisionari ni njia ya kuridhisha ya kutumikia Kanisa na jamii yako. Iwe unahisi wito wa kuongoza, kutumikia, au kuimarisha safari yako ya kiroho, kuna nafasi kwa ajili yako katika mojawapo ya mashirika yetu. Wasiliana nasi leo ili kujua zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kujiunga.
- Jinsi ya Kujiunga:
Kwa maswali kuhusu uanachama, tafadhali wasiliana na vyama@darwalei.or.tz