KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Vyama Vya Kitume
UKWAKATA (UKWAKATA)
Muhtasari wa Chama:

UKWAKATA ni kifupi cha neno (Utume wa Kwaya Katoliki Tanzania) Utume huu ulianzishwa mnamo mwaka 1977 wakati huo Utume huu ukijulikana kwa jina la SHIKWAKA yaani (Shirikisho la Kwaya Katoliki) Jimbo Kuu la Dar es salaam. Mwaka 2017 Baraza la Maaskofu (TEC) lilitamka rasmi kuwa kazi ya kway ani Utume sio chama kama vilivyo vyama vingine au SHIRIKISHO, na hivyo ili badili jina ikaitwa UKWAKATA. Pia TEC ilitoa Katiba inayoongoza kwaya kuanzia Kigango hadi Taifa

Kauli mbiu ; tumwimbie Bwana katika roho na kweli

Malengo ya UKWAKATA:

1.     Kukoleza Liturujia kwa njia ya nyimbo kama unavyoelekeza mtaguso Kuu wa II wa Vatikano kuhusu umuhimu  wa Muziki Mtakatifu katika Liturujia, Sura ya 6:ibara ya 112 kifungu cha 201

           Kusifu na Kumtukuza Mungu; Lengo kuu ni kumwinua Mungu kwa nyimbo za sifa, ibada, na maombi

3.    Kuleta uzuri na utakatifu katika ibada kupitia muziki wa kilituruji

      Kuwaleta pamoja waimbaji katika huduma ya pamoja, wakijifunza kushirikiana kwa upendo na unyenyekevu.

5.    Kutoa fursa kwa vijana na watu wazima kukuza, na kuendeleza vipaji vya uimbaji

6.   Kushiriki katika matukio mbalimbali

Uongozi:
MICHAEL CHILE
MWENYEKITI
Tel : 0784 366635
GOLDEN KIPANGALA
MAKAMAU MWENYEKITI
Tel : 0754 459766
GEORGE NYOTOKA
KATIBU
Tel : 0652 313288
THERESIA SAIDI
KATIBU MSAIDIZI
Tel : 0762 565944
OLIVER BENEDICT
MTUNZA FEDHA
Tel : 0715 843039
Shughuli na Matukio
Shughuli:
  • Mafunzo ya Kiroho: Wanachama wanapata mafunzo ya kiroho ili kujiandaa kutoa huduma kwa waumini.
  • Huduma ya Uongozi: Wanachama wanashiriki katika kutoa huduma za uongozi na kutoa msaada kwa jamii katika kueneza mafundisho ya Kikristo.
  • Shughuli za Kujitolea: Wanachama wanajitolea katika kutoa msaada kwa wahitaji katika jamii.
  • Mafunzo ya Wakatekista: Wanachama wanapata mafunzo maalum kwa ajili ya kuboresha ufanisi wao katika kazi za uongozi wa kiroho.
Mikutano:
  • Mikutano ya Kiroho: Mikutano hii inatoa nafasi kwa wakatekista kufanya maombi na kujifunza mafundisho ya Biblia.
  • Mikutano ya Uongozi: Mikutano hii inajadili masuala ya uongozi na jinsi ya kuboresha huduma kwa waumini.
  • Mkutano wa Mwaka: Mkutano huu unafanyika kila mwaka kwa lengo la kujadili mikakati ya maendeleo na huduma kwa jamii.
Kuwa Mwanachama
Kuwa Mwanachama

Kuwa mshirika wa Shirika la Kimisionari ni njia ya kuridhisha ya kutumikia Kanisa na jamii yako. Iwe unahisi wito wa kuongoza, kutumikia, au kuimarisha safari yako ya kiroho, kuna nafasi kwa ajili yako katika mojawapo ya mashirika yetu. Wasiliana nasi leo ili kujua zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kujiunga.

Uanachama:
  • Jinsi ya Kujiunga:

    Wanachama wanakaribishwa kujiunga na UKWAKATA ili kujenga na kuimarisha huduma ya kiroho kwa jamii na kutoa msaada kwa waumini. Kujiunga na UKWAKATA ni rahisi.

    Kwa maswali kuhusu uanachama, tafadhali wasiliana na info@darwalei.or.tz

  • Ada ya Uanachama:
    Ada ya uanachama : TZS 0.
Tafadhali andika jina la taasisi yako.
Tafadhali andika jina lako la kwanza.
Tafadhali andika jina lako la mwisho.
Tafadhali andika namba yako ya simu.
Tafadhali andika barua pepe sahihi.
Tafadhali andika ujumbe wako / Maoni (ikiwa yapo).