KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Buguruni

Mnamo mwaka 1959 Kigango cha Buguruni kilianzishwa rasmi kwa juhudi za wana Legio maria waliokuwa wanatembelea nyumba hadi nyumba .1962 Walegio Maria walihamasisha kusali na kujenga kigango cha miti. Mzee Mzozima Mkude kwa upendo wake mkubwa aliamua kutoa eneo lake bure bila malipo yeyote, na bati zilizoezekwa zilitoka Parokia ya msimbazi.Kati ya miaka 1980 haadi 1090 jengo la kigango lilianza kuchoka  na waumini walihamasishana  kujenga   kigango kwa kujitolea kama vile kuftyatua matofali, kin mamam kuchota maji. Ujenzi ulifanywa na Mzee Rafaeli Otieno, Mzee Benedict Kimoko, Petetr Msomba na wengine.

Tare 19/02/1999 kulifanyika mkutano wa waumini wote  na kuamua  kujenga  kigango kingine  cha pili . wakati waumini wakijiandaa kujenga kigango kingine . 28/08/2000 Paroko wa wwakati huo Pd Ambrosi  Mosha aliitisha kikao cha viongozi na kuazimia kujenga Parokia  na sio kigango,

Uongozi wa Parokia
Pd. Raphael Chiligwalwa
PAROKO
Tel : 0754563639
Short Bio: Padre wa shirika la Wafransiskani Wakapuchini wanaofanyakazi Jimbo Kuu la Dar es salaam
Pd.Harvey Chikumbu
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0783682284
Short Bio: Padre wa Shirika la Wafransiskani anayefanya Utume wake Jimbo Kuu la Dar es salaam

KAROLI B. SHITUNDU
MWENYEKITI , KAMATI TENDAJI, HALMASHAURI YA WALEI PAROKIA
Tel : 0657 924246
GUDILA DAMAS
MAKAMU MWENYEKITI , KAMATI TENDAJI, HALMASHAURI YA WALEI PAROKIA
Tel : 0719 685207
ALBIN JAMES LUSINGO
KATIBU, KAMATI TENDAHI,HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0715 339083
EMMANUEL JOHN
KATIBU MSAIDIZI
Tel : 0719 666465
ANDREA KASANGA
MTUNZA FEDHA, KAMATI TENDAJI, HALMASHAURI YA WALEI PAROKIA
Pd. Raphael Chiligwalwa
PAROKO
Tel : 0754563639
Pd.Harvey Chikumbu
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0783682284
Paschal george
MWENYEKITI
Tel : 0713214457
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Huduma za Kichungaji: Misa za kila siku, semina za familia, mafundisho ya imani, na sala za pamoja.
  • Vikundi vya Utume: Jumuiya ya Mt. Stefano Shahidi, Kwaya ya Parokia, Wahudumu wa Altare.
  • Huduma za Kijamii: Huduma kwa familia maskini, watoto yatima, na huduma za afya kwa jamii maskini.
Jiunge Nasi
Waamini wa parokia ya Buguruni wanahimizwa kushiriki kwa ukamilifu katika huduma za kiroho na kijamii. Waamini wanaweza kushiriki katika misa za kila siku, kutoa michango kwa familia maskini, na kujitolea kwa huduma za kijamii.
Saidia Parokia
Kanisa litajengwa na sisi wenye, sisi ndio wamisionari. Kwa kutumia vipawa tulivyonavyo kwa kujituma tukiongoza na neno la Mungu kutoka kitabu cha (Hagai 1:1 -15) asema, “pandeni milimani mkakate mini na kujenga nyumba, ili nipate kuifurahia, na nitukuzwe,” asema Bwana.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...