KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Mikoroshoni

Parokia ya Mtakatifu Dominiko Savio Temeke Mikoroshoni, ni zao la Parokia ya Mtakatifu Francis Xavery Chang’ombe  ikiwa ni miongoni mwa Parokia  zilizomo ndani ya Dekania ya Mt. Yosefu, Jimbo Kuu la Dar es salaam, na ni Parokia ya mia moja (100) kwa kuitamka kwa kinywa chake, Mwadhama Polycap Kadinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu mnamo tarehe 07 Julai 2016 kwenye sherehe ya Ibada ya Misa Takatifu ya Upadrisho katika Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay..

Baada ya idadi ya waumini kuongezeka Parokia ya Chan’gombe, ilipelekea Parokia kuwa na Misa tano (5) kwa kila Dominika na pia umbali uliokuwepo kwa waumini wa Kanda za Vetenari na Mikoroshoni ambao uliwapelekea baadhi yao kutohudhuria Ibada za Misa Takatifu; hivyo basi Halmashauri ya Walei Parokia na Baba Paroko Steven Nyilawilawakati huo, walionelea ni vyema waanzishe Kigango maeneo ya Vetenari au Mikoroshoni

Ili kufahamu zaidi bonyeza kitufe hapo chini

Uongozi wa Parokia
PD. THOMAS NJUE
PAROKO
Tel : 0785-012974
Short Bio: Padri wa Jimbo la Dar es salaam

COSMAS KANTANDE
MWENYEKITI
Tel : 0782 904600
JOHN MBOYA
MAKAMU MWENYEKI
Tel : 0715 555383
MARIETA MSIMBILI
KATIBU
Tel : 0714 805730
JAQUELINE SIAME
KATIBU MSAIDIZI
Tel : 0654 007002
PETRO LINGANDA
MTUNZA FEDHA
Tel : 0655563231
PD. THOMAS NJUE
PAROKO
Tel : 0785-012974
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Huduma za Kichungaji: Misa za kila siku, semina za familia, mafundisho ya imani, na sala za pamoja.
  • Vikundi vya Utume: Jumuiya ya Mt. Dominic Savior, Kwaya ya Parokia, Wahudumu wa Altare.
  • Huduma za Kijamii: Huduma kwa familia maskini, watoto yatima, na huduma za afya kwa jamii maskini.
Jiunge Nasi
Waamini wa parokia ya Mikoroshoni wanahimizwa kushiriki katika huduma za kiroho na kijamii. Waamini wanaweza kushiriki katika misa za kila siku, kutoa michango kwa familia maskini, na kujitolea kwa huduma za kijamii.
Saidia Parokia
Parokia ya Mikoroshoni inahitaji msaada wa kifedha na misaada ya vifaa ili kuendelea na shughuli zake za kiroho na kijamii. Waamini wanahimizwa kutoa michango ya kifedha kwa ajili ya msaada wa familia maskini, wategemezi, na misaada ya wagonjwa.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...