Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Parokia na Kituo cha Hija cha Mt. Gaspar Del Bufalo (Shrine) kilianza Kama Kigango cha Mwenyeheri Maria De Matias Mwaka 1990 katika eneo hili la Mbezi Beach ikijulikana kama MBEZI Machakani .Viongozi wa Shirika la Wamisionari wa Damu Azizi kutoka Italia
(Mapadre Don Evaldo na Don Valenzano Wahasibu Wastaafu) Walikuwa wakitembelea Tanzania Mara kwa Mara wakati wa Uongozi wao, Walipata wazo la kwamba watakapoadhimisha JUBILEI YAO YA DHAHABU wajenge (SHRINE)Tanzania- Dar es Salaam kwa Heshima ya MT. GASPAR DEL BUFALO. Viongozi wa Shirika la Wamisionari wa Damu Azizi ya Yesu Tanzania chini ya Padre Vincent Bosel katika Kigango cha Mwenyeheri Maria De Matias na hivyo Jina la Kigango likabadilishwa na kuitwa Mt. Gaspar Del Bufalo. Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo aliasiki ombi hilo.
Tarehe 11 Mwezi March Mwaka 2007 Kigango cha Mt. Gaspar Del Bufalo kilipewa hadhi ya kuwa PAROKIA na aliyekuwa ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM HAYATI MWADHAMA POLCARP KARDINALI PENGO chini ya Padre Gregory Mkhotya Paroko wa kwanza.
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Kikundi cha Vijana: Kikundi hiki kinawahamasisha vijana kuwa na mchango katika huduma za Kanisa na jamii, na kutatua changamoto zinazowakabili.
- Kwaya ya Parokia: Kikundi hiki kinatoa huduma ya nyimbo za ibada zinazohamasisha waumini kumtumikia Mungu kwa furaha.
- Huduma ya Familia: Kikundi hiki kinasaidia familia kuwa na umoja na kuimarisha maisha ya kiroho na kijamii.
- Chama cha Walei: Kikundi hiki kinawasaidia waumini kutenda kazi za kijamii na kiroho kwa faida ya jamii nzima.
- Huduma ya Wazee: Kikundi hiki kinawasaidia wazee kupata huduma za kiroho na kijamii, na kuwasaidia kuishi kwa amani.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...