Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Parokia
ya Mt. Marko Mwinjili Mjimwema ni mojawapo ya Parokia za Jimbo
Kuu Katoliki la Dar es Salaam. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2013, Parokia
imekuwa kiroho na kimuundo, na imeweza kuzaa Parokia zinginea mpya zikiwemo Parokia ya
Gezaulole na Parokia Teule ya Mwongozo.
Parokia ya Mtakatifu Marko Mwinjili - Mji Mwema ilianzishwa Tar 26 Aprili 2013. Kwa sasa, Parokia ina kigango kimoja cha
Mt. Mathayo – Kidete, ambapo ujenzi wa kanisa unaendelea.
Kwa sasa parokia inasimamiwa na Padre Antipas Tesha, IMC ambaye ndite Paroko. Mpa kufikia wakati huu inaandika historia hii fupi, parokia imebahatika kuwa na Mapadre wasaidizi wawili ambao ni ; Padre Nebiyu Bene- IMC na Padre Paskal Libana.
Parokia inahudumiwa na Masista kutoka (Ndanda - OSB) Sr. M. Fides Mlaponi, OSB, Sr. M. Cosma Hokororo, OSB, Sr. M. Paula Chiledi, OSB
Kwa sasa Parokia ipo kwenye harakati za ujenzi wa Kanisa kubwa la kudumu ili kuweza kutesheleza mahitaji ya wakati huu.
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Huduma ya Vijana: Huduma hii inawalenga vijana wa parokia, kuwawezesha kushiriki katika ibada na shughuli za kijamii zinazolenga kukuza maadili ya Kikristo.
- Kwaya ya Parokia: Kwaya hii inajivunia kutoa nyimbo za ibada na kuhamasisha waamini katika ibada zao.
- Huduma ya Familia: Huduma hii inatoa msaada kwa familia zinazohitaji, ikiwa ni pamoja na ushauri wa kiroho na msaada wa kifedha kwa familia maskini.
- Huduma ya Maombezi: Maombi ya parokia yanatolewa kwa ajili ya familia, waamini, na jamii kwa ujumla, huku wakikumbuka mahitaji ya kila mmoja.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...