KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Uongozi
Utawala & Utendaji

   "Jubilei ya miaka 75 ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam - Tufanywe upya na Roho Mtakatifu 

Eng . John Ndazi
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Walei
Jimbo Kuu la Dar es Salaam

Idara ya Utume wa Walei
Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika huyo Mpendwa . (Waefeso 1:6 )

Mawasiliano

·       Muumini katika Parokia ya Roho Mtakatifu - Segerea

·       Kiongozi wa Vikao na Mikutano yote ya Kamati Tendaji, Halmashauri na Mkutano Mkuu

·       Mwenyekiti wa Halmashauri walei na Mkutano Mkuu

·       Kiongozi wa Kamati ya Malezi, Familia na Afya

.        Mjumbe Kamati ya Matukio ya Jimbo

Coming soon ...

Mwenyekiti anayo majukumu yanayomuwezesha kuwajibika kwa namna ipasavyo na majukumu haya yana mfanya kiongozi huyu aweze kutimiza majukumu yake vyema. Kila kiongozi anakazi zake kikatiba. Rejea Katiba ya Halmashauri Walei Uk. 14. No.5.2.1-5.2.6.6

Mwenyekiti katika ngazi yoyote atakuwa:

  • Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Halmashauri Walei.
  • Mwenyekiti wa Halmashauri ya Walei na Mkutano Mkuu.
  • Kiongozi wa vikao na Mikutano yote ya Kamati Tendaji, Halmashauri na Mkutano Mkuu.
  • Mtoa ushauri kwa hierakia kuhusu mambo mbalimbali ya Kigango/Parokia/Dekania/Jimbo/Taifa.
  • Anaongoza Kamati ya malezi na familia.
  • Muhimili wa utendaji wa Halmashauri ya Walei.
  • Msemaji wa Halmashauri Walei.
  • Kiongozi wa mijadala katika mikutano.
  • Mfuatiliaji wa utekelezaji wa mazimio ya mikutano.
  • Kiungo kati ya uongozi hierakia, Halmashauri Walei na Walei wote
  • Mhusika mkuu katika kuitisha mikutano na vikao kwa kushirikiana na Katibu kwa mujibu wa Katiba hii.
  • Mtoa taarifa za mara kwa mara za utekelezaji wa shughuli kwa Halmashauri ya Walei na uongozi Hierakia ngazi husika.
  • Mhusika katika Kushirikisha viongozi wa vyama vyote vya kitume katika mikutano ya Halmashauri na utekelezaji.