Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
"Jubilei ya miaka 75 ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam - Tufanywe upya na Roho Mtakatifu
Coming soon ....
Katibu: Majukumu yake
- Ndiye Katibu wa Kamati Tendaji ya Halmashauri ya Walei Kuwa Mtendaji wa Halmashauri ya Walei ni Pamoja na;
- Kuijua na kuIeleza Katiba na kuitumia kwa busara bila kupoteza lengo.
- Kumshauri Mwenyekiti katika masuala yote ya kiutendaji.
- Kuandaa muktasari ya mikutano.
- Kualika wajumbe halali wawezea kushiriki mikutano au vikao husika.
- Kwa maelekezo ya Mwenyekiti, kuitisha mikutano na vikao kwa mujibu wa Katiba hii na kuandaa agenda za mikutano.
- Iwapo kuna semina au kongamano, ataandaa mambo yote yatakiwayo kwa ushirikiano na viongozi wenzake.
- Kuandaa mahali pa mikutano na mambo muhimu yatakiwayo.
- Kuwakaribisha wageni kutoka taasisi mbalimbali na kuwashirikisha viongozi wenzake hasa.
- Mwenyekiti, na wajumbe wengine wa Kamati Tendaji.
- Kuandaa muktasari au kumbukumbu za mkutano au kikao na kuwasilisha kwenye kikao kinachofuata.
- Kupokea na kuhifadhi kumbukumbu na nyaraka zote husika.
- Kushughulikia barua zote za kiofisi. Kufuatilia utekelezaji wa maazimio yote ya Mikutano/vikao
- Kuandaa taarifa mbalimbali zinazotakiwa na kuziwasilisha sehemu husika.
- Kupokea taarifa mbalimbali kutoka vyama vya kitume na kuziunganisha na kuziwasilisha sehemu husika.
- Atakuwa Mwenyekiti wa Haki, Amani, na ulinzi katika ngazi husika.
20/05/2026