KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Uongozi
Utawala & Utendaji

   "Jubilei ya miaka 75 ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam - Tufanywe upya na Roho Mtakatifu 

Goodluck A. Massawe
Mtunza Hazina wa Halmashauri ya Walei
Jimbo Kuu la Dar es Salaam

Idara ya Utume wa Walei

Coming soon ....

Mtunza hazina ambaye atakuwa/Atatakiwa:

  • Mtunza mali za Halmashauri na kumbukumbu zake.
  • Kuweka vizuri hesabu za mapato na matumizi.
  • Kudhibiti matumizi.
  • Kubuni mipango na mbinu za kuzalisha mali kwa ushirikiano na Kamati ya Mipango, Uchumi na Fedha.
  • Atakuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mipango, Uchumi na Fedha.
  • Kufuatilia utekelezaji wa maazimio yahusuyo fedha na miradi.
  • Kutoa taarifa ya mapato na matumizi katika vikao husika.