KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Uongozi
Utawala & Utendaji

   "Jubilei ya miaka 75 ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam - Tufanywe upya na Roho Mtakatifu 

Frederick Maday Akilimali
Katibu wa Halmashauri ya Walei
Jimbo Kuu la Dar es Salaam

03 May 2026 - May 2029
Idara ya Utume wa Walei

Coming soon ....

Katibu: Majukumu yake

  • Ndiye Katibu wa Kamati Tendaji ya Halmashauri ya Walei Kuwa Mtendaji wa Halmashauri ya Walei ni Pamoja na;
  • Kuijua na kuIeleza Katiba na kuitumia kwa busara bila kupoteza lengo.
  • Kumshauri Mwenyekiti katika masuala yote ya kiutendaji.
  • Kuandaa muktasari ya mikutano.
  • Kualika wajumbe halali wawezea kushiriki mikutano au vikao husika.
  • Kwa maelekezo ya Mwenyekiti, kuitisha mikutano na vikao kwa mujibu wa Katiba hii na kuandaa agenda za mikutano.
  • Iwapo kuna semina au kongamano, ataandaa mambo yote yatakiwayo kwa ushirikiano na viongozi wenzake.
  • Kuandaa mahali pa mikutano na mambo muhimu yatakiwayo.
  • Kuwakaribisha wageni kutoka taasisi mbalimbali na kuwashirikisha viongozi wenzake hasa.
  • Mwenyekiti, na wajumbe wengine wa Kamati Tendaji.
  • Kuandaa muktasari au kumbukumbu za mkutano au kikao na kuwasilisha kwenye kikao kinachofuata.
  • Kupokea na kuhifadhi kumbukumbu na nyaraka zote husika.
  • Kushughulikia barua zote za kiofisi. Kufuatilia utekelezaji wa maazimio yote ya Mikutano/vikao
  • Kuandaa taarifa mbalimbali zinazotakiwa na kuziwasilisha sehemu husika.
  • Kupokea taarifa mbalimbali kutoka vyama vya kitume na kuziunganisha na kuziwasilisha sehemu husika.
  • Atakuwa Mwenyekiti wa Haki, Amani, na ulinzi katika ngazi husika.