Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
"Jubilei ya miaka 75 ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam - Tufanywe upya na Roho Mtakatifu
Coming soon ....
Mtunza hazina ambaye atakuwa/Atatakiwa:
- Mtunza mali za Halmashauri na kumbukumbu zake.
- Kuweka vizuri hesabu za mapato na matumizi.
- Kudhibiti matumizi.
- Kubuni mipango na mbinu za kuzalisha mali kwa ushirikiano na Kamati ya Mipango, Uchumi na Fedha.
- Atakuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mipango, Uchumi na Fedha.
- Kufuatilia utekelezaji wa maazimio yahusuyo fedha na miradi.
- Kutoa taarifa ya mapato na matumizi katika vikao husika.