0
+
Miaka ya Huduma
0
+
Watu Waliofikiwa
0
+
Warsha 2019 - 2025
0
+
Parokia Kamili
0
+
Parokia Teule
Utangulizi
Fahamu kuhusu Utume wa Walei

Walei ni sehemu muhimu ya utume wa Kanisa. Ndani ya Kanisa, waamini walei si watazamaji bali ni washiriki katika utume wa Kristo katika kutakatifuza malimwengu. Kwa kupitia ubatizo wao wanashirikishwa kazi ya ukuhani, unabii na ufalme. Mtg II wa Vat unaeleza kuwa, utume wa Kanisa ni jukumu la taifa lote la Mungu (Lumen Gentium, Na. 30–38), na kwamba walei wanaitwa kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa Kanisa na uenezaji wa injili ndani ya Kanisa na katika ulimwengu (Apostolicam Actuositatem, Na. 2).

Ushiriki huu hauchukui nafasi ya huduma za Waklero, bali unakamilisha utume wa Kanisa kwa kuzingatia kanuni ya ushirika (communio) na uwajibikaji wa pamoja (co-responsibility). Vilevile, maendeleo ya Kanisa yanategemea ushiriki wa walei katika kulitegemeza Kanisa kupitia vipaji vyao ili kuwezesha shughuli za kichungaji...

Mkate wa siku ya Leo
"Nawaambieni kweli, kila mtu anayekiri hadharani kwamba yeye ni wangu, Mwana wa Mtu naye atakiri mbele ya malaika wa Mungu kwamba mtu huyo ni wake. Lakini, mtu yeyote anayenikana mbele ya wa ....Soma Zaidi
Luka 12:8 - 12
JUKWA LETU

Hatimae Warsha iliyokuwa ikisubiriwa imeweza kufanyika tar 26 Septemba 2026 katika viwanja vya Parokia ya Kristu Mfalme - Tabata. Waamini zaidi ya 11,000 waliweza kushiriki siku hiyo. Warsha ilitanguliwa na michezo mbalimbali tar 23 Sept.2026. Askofu Msaidizi Henry Mchamungu aliwapa washindi zawadi  Tar 26 Sept. 2026 wakati wa kuhitimishwa kwa warsha.

Baraka ya kipekee kwa waliokuwa na...

... Soma Zaidi
Mkate wa siku ya Leo
"Nawaambieni kweli, kila mtu anayekiri hadharani kwamba yeye ni wangu, Mwana wa Mtu naye atakiri mbele ya malaika wa Mungu kwamba mtu huyo ni wake. Lakini, mtu yeyote anayenikana mbele ya wa ....Soma Zaidi
Luka 12:8 - 12
Habari na Matukio
Habari Mbalimbali Kutoka Parokia Zetu, Jimbo na Taifa
Matukio Yanayokuja
Kalenda ya Matukio ya Kijimbo
Tazama Zote
Pakua App Yetu ya Kanisa Sasa!
Jiunge nasi popote ulipo, kila wakati.
Pata mawasiliano ya haraka, ratiba za misa, habari za matukio ya kanisa, mafundisho ya kiroho, na mengi zaidi. Ungana nasi kila wakati kupitia simu yako!