Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Jimbo Kuu la Dar es Salaam laanza maandalizi ya Maadhimisho ya Jubilei ya miaka 75 tangu kuanzishwa kwake (1953) ambpo kufikia mwaka 2028 Jimbo litatimiza miaka 75. Siku ya kilele inatarajiwa kuwa mwezi Machi 2028.
Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwaichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam ametangaza maandalizi hayo kuanza 2025.
Kauli Mbiu:
Jubilei ya Miaka 75 ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam,- Tufanywe Upya na Roho Mtakatifu
Shukrani ya Mavuno Jimbo Kuu la Dar es Salaam kufanyika Tarehe 21 Novemba 2026 viwanja vya Kristu Mfalme - Parokia ya T...
Warsha ya waamini walei yafanyika Tar 26 Sept. 2026 viwanja vya Parokia ya Kristu Mfalme - Tabata. Jimbo Kuu la Dar es S...
Viongozi Wateule wa Kamati Tendaji Halmashauri Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa na Mhashamu Henry Mchamungu...
Deprecated: strtotime(): Passing null to parameter #1 ($datetime) of type string is deprecated in /home2/wajida/public_html/news-detail.php on line 285
Deprecated: strtotime(): Passing null to parameter #1 ($datetime) of type string is deprecated in /home2/wajida/public_html/news-detail.php on line 286
Ujenzi wa Kanisa Kuu Mbadala (Theotokos) sasa kufanyika Pugu badala ya Gezaulole Tamko hilo limetolewa na Mhashamu Jude ...