Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Kurugenzi ya Kichungaji kwa kushirikiana na Idara ya utume wa Walei Jimbo Kuu la dar es Salaam imekuwa ikiandaa warsha ya waamini kwa nia ya kuwaweka pamoja, kusali na kushirikishana mambo mbalimbali yakiwemo mafundisho ya kiroho ili kuwajenga kiimani. lengo la warsha ni uinjilishaji, lakini kwasababu mwanadamu ni mwili na roho, pia kumekuwa na michezo mbalimbali kwwaajili ya kujenga afya ya mwili.
kwa Jimbo la Dar es Salaam, mpango hua sasa umekuwa endelevu, ulianza tokea mwaka 2019 kwa kuwakutanisha WAWATA katika viwanja vya Chuo cha ufundi Donbosco, na baadaye UWAKA katika viwanja vya Loyola. Mwaka 2021 kulikuwa tukio kubwa zaidi lililokutanisha waamini walei kuanzia miaka 18 jinsia ya kike na kiume katika uwanja wa Benjamin Mkapa Stadium likitanguliwa na adhimisho la misa takatifu. Kwa mara ya kwanza kulikuwa na mpira wa miguu kati ya Mapadre na Walei. Idadi ya waamini inakadiriwa kufikia elfu arobaini. Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwaichi aliongoza misa.Baadhi yao wlikuwa na kumbukizi ya miaka 25 na 50 ya ndoa.
Tunamshukuru Mungu kwa mafanikio haya.
Shukrani ya Mavuno Jimbo Kuu la Dar es Salaam kufanyika Tarehe 21 Novemba 2026 viwanja vya Kristu Mfalme - Parokia ya T...
Viongozi Wateule wa Kamati Tendaji Halmashauri Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa na Mhashamu Henry Mchamungu...
Jimbo Kuu la Dar es Salaam laanza maandalizi ya Maadhimisho ya Jubilei ya miaka 75 tangu kuanzishwa kwake (1953) ambpo k...
Deprecated: strtotime(): Passing null to parameter #1 ($datetime) of type string is deprecated in /home2/wajida/public_html/news-detail.php on line 285
Deprecated: strtotime(): Passing null to parameter #1 ($datetime) of type string is deprecated in /home2/wajida/public_html/news-detail.php on line 286
Ujenzi wa Kanisa Kuu Mbadala (Theotokos) sasa kufanyika Pugu badala ya Gezaulole Tamko hilo limetolewa na Mhashamu Jude ...