Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwaichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaamu akiwa na Maaskofu wasaidizi Mhashamu Henry Mchamungu, Mhashamu Vincent Mpwaji, Chancellor Pd. Hamilton Kikoti, Mkurugenzi Utume wa Walei kwenye mkutano uliowahusisha Madekano, Viongozi wa Halmashauri Walei, Taasisi mbalimbali za Kanisa na vyama vya Kitume katika kujadili namna ya kufanikisha siku ya shukrani ya Mavuno kijimbo uliofanyika ukumbi wa Kardinal Adams Msimbazi Centre.
Siku ya shukrani ya Mavuno Kijimbo inatarajiwa kufanyika eneo la viwanja vya Kristu Mfalme Parokia ya Tabata Tarehe 21 Nov 2026.
Warsha ya waamini walei yafanyika Tar 26 Sept. 2026 viwanja vya Parokia ya Kristu Mfalme - Tabata. Jimbo Kuu la Dar es S...
Viongozi Wateule wa Kamati Tendaji Halmashauri Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa na Mhashamu Henry Mchamungu...
Jimbo Kuu la Dar es Salaam laanza maandalizi ya Maadhimisho ya Jubilei ya miaka 75 tangu kuanzishwa kwake (1953) ambpo k...
Deprecated: strtotime(): Passing null to parameter #1 ($datetime) of type string is deprecated in /home2/wajida/public_html/news-detail.php on line 285
Deprecated: strtotime(): Passing null to parameter #1 ($datetime) of type string is deprecated in /home2/wajida/public_html/news-detail.php on line 286
Ujenzi wa Kanisa Kuu Mbadala (Theotokos) sasa kufanyika Pugu badala ya Gezaulole Tamko hilo limetolewa na Mhashamu Jude ...