Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Deprecated: strtoupper(): Passing null to parameter #1 ($string) of type string is deprecated in /home2/wajida/public_html/news-detail.php on line 235
Misa Takatifu ya shukrani kwaajili ya Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la dar es Salaam, Mhashamu Vincent Mpwaji, Iliyofanyika mkoani Dodoma Octoba 2026. Sherehe hizi zilifanyika kwasababu Askofu Mpwaji ni mzaliwa wa Jimbo Kuu la Dodoma
Matukio makuu yaliyoangaziwa wakati wa maadhimisho ni Pamoja na ;
Misa ya shukrani iliyoadhimishwa katika Kituo cha Hija cha Podium Miyuji Mbwanga mkoani Dododma. Baadhi ya matukio mengine ya kiroho ya shukrani yaligusa parokia yake ya nyumbani ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni – Kigwe Dodoma
Ibada hilihudhuriwa na viongozi wa Kanisa na umati mkubwa wa waamini kutoka maeneo mbalimbali ukiongozwa na maandamano rasmi ya Maaskofu, Mapadre, Mashemasi na Maflateri. Mhashamu Beatus Kinyaia, Askofu Mkuu wa Jimbo la Dodoma alikuwa miongoni mwao na ndiye aliyetoa homilia.
Lengo la Misa ni shukrani kwa Mungu kwa zawadi ya Daraja Takatifu ya Uaskofu
Shukrani ya Mavuno Jimbo Kuu la Dar es Salaam kufanyika Tarehe 21 Novemba 2026 viwanja vya Kristu Mfalme - Parokia ya T...
Warsha ya waamini walei yafanyika Tar 26 Sept. 2026 viwanja vya Parokia ya Kristu Mfalme - Tabata. Jimbo Kuu la Dar es S...
Viongozi Wateule wa Kamati Tendaji Halmashauri Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa na Mhashamu Henry Mchamungu...
Jimbo Kuu la Dar es Salaam laanza maandalizi ya Maadhimisho ya Jubilei ya miaka 75 tangu kuanzishwa kwake (1953) ambpo k...