Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Deprecated: strtoupper(): Passing null to parameter #1 ($string) of type string is deprecated in /home2/wajida/public_html/news-detail.php on line 235
Mkurugenzi wa Idara ya Utume wa Walei Fr. Vitalis J. Kassembo akikabidhiwa cheti na Mhashamu Stephano Msomba baada ya kuhitimu mafunzo ya Uimarishaji wa familia Tanzania yaani UFATA katika ukumbi wa Mikutano wa Jimbo jimbo Kuu laDar es Salaam mwezi Juni 2024.
Wanafunzi wengine 17 walipokea pia vyeti siku hiyo na baba Askofu aliwapongeza na kuwaasa kufanya kazi waliotumwa kuitekeleza ili kukiokoa kizazi hiki
Shukrani ya Mavuno Jimbo Kuu la Dar es Salaam kufanyika Tarehe 21 Novemba 2026 viwanja vya Kristu Mfalme - Parokia ya T...
Warsha ya waamini walei yafanyika Tar 26 Sept. 2026 viwanja vya Parokia ya Kristu Mfalme - Tabata. Jimbo Kuu la Dar es S...
Viongozi Wateule wa Kamati Tendaji Halmashauri Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa na Mhashamu Henry Mchamungu...
Jimbo Kuu la Dar es Salaam laanza maandalizi ya Maadhimisho ya Jubilei ya miaka 75 tangu kuanzishwa kwake (1953) ambpo k...