KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Vyombo Vya Habari
Habari na Matangazo
NEWS
News
Deprecated: strtoupper(): Passing null to parameter #1 ($string) of type string is deprecated in /home2/wajida/public_html/news-detail.php on line 235
Wana UFATA JImbo Kuu la Dar es Salaam

Wana UFATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na Mhashamu Stephano Musomba  ambaye ndiye mlezi wa Vyama vya Kitume Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Katika mkutano mambo mbalimbali yalijadiliwa, ambapo Baba Askofu alisisitiza kuimarisha zaidi Utume na kuhakikisha elimu ya uimarishaji wa familia inawafikia walengwa. Alisisitiza pia kusoma kila wakati kwa waalimu waliopokea vyeti ili elimu itakayokuwa inatolewa iwe na ubora.

Miongoni mwa waliopokea vyeti siku hiyo yupo pia Mkurugenzi wa Idara ya Utume wa Walei Fadha Vitalis James Kassembo anayeonekana kribu na Askofu.

Waliohitimu walikuwa wanafunzi 16 TOT na kupokea vyeti.