KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Uongozi
Utawala & Utendaji

   "Jubilei ya miaka 75 ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam - Tufanywe upya na Roho Mtakatifu 

Jovitha G. Rwiza
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Walei
Jimbo Kuu la Dar es Salaam

Idara ya Utume wa Walei
Ijalizeni furaha yangu ili muwe na nia moja, wenye mapenzi mamoja, wenye roho moja, mkinia moja. (Wafilipi 2:2 )

Mawasiliano

Coming soon ....

Makamu Mwenyekiti

  • Hufanya kazi za Mwenyekiti, iwapo Mwenyekiti hatakuwepo.
  • Ndiye msaidizi wa hierakia katika mambo yahusuyo Liturujia.
  • Mwenyekiti wa Kamati ya Liturujia.
  • Huratibu utendaji wa Vyama vya Kitume katika ngazi husika na kutoa taarifa katika Kamati Tendaji ya ngazi husika.
  • Muhimili katika utendaji wa Halmashauri Walei
  • Pia ni kiungo kati ya uongozi Hierakia, Halmashauri Walei na Walei wote